
Kama unashindwa kudownlodi audio kwenye tovuti yetu, kupitia simu au  kompyuta yako fanya yafuatayo; (If you can't download audio from our website try the following;)
1) Tumia browser nyingine tofauti na Chrome (Use other browser instead of Chrome)
2) SHIKILIA (Hold) batani ya kudownlodi baadae utaona box mpya yenye machaguo mengi. Ili kudownlodi audio hiyo unatakiwa ubofye neno 'Download link' au 'Save as' au 'Target as' hatimae audio hiyo itaanza kudownlodi na kuhifadhiwa kwenye simu au kompyuta yako.
(HOLD download button then you'll see the new dialog box with various options appears, To download that audio click 'Download link' au 'Save as' au 'Target as' finally you'll see download progress and your audio will be saved to your computer or phone.)
Angalia picha hapo chini (see a screenshot below)
![MUZIKI WA DINI [Gospel and Qaswida Music]](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGaMVVZltSHjLz0mO9oxR_mU-UwwkVRWORLM1h2wFvGxynXi0W0idsUpeLR1sICPdHC9cjZb6fsWUGfqMeKn1USKWhHTKa1I-l_dm4DQCj1_5V-ATU2o0jsOQITTurousLdU1i8NJbAWY/s1600/MUZIKI+WA+DINI+LOGO.png) 




إرسال تعليق