UNASHINDWA KUDOWNLODI AUDIO? (CAN'T DOWNLOAD AUDIO?)

Kama unashindwa kudownlodi audio kwenye tovuti yetu, kupitia simu au  kompyuta yako fanya yafuatayo; (If you can't download audio from our website try the following;)

1) Tumia browser nyingine tofauti na Chrome (Use other browser instead of Chrome)

2) Bofya batani ya kudownlodi kama inavyoonyeshwa kwenye picha hapo chini (Click download  button  as shown below)


3) Ukisha bofya batani hiyo na audio yako ikaanza kudownlodi moja kwa moja, basi huna haja ya kuendelea na hatua zingine kwani audio hiyo itahifadhiwa kwenye simu yako. (When your audio is downloading automatically after clicking that download button, no any action is required as your audio will be saved in your computer or phone.)

Lakini, ukibofya batani hiyo na ukaona kuna box imetokea yenye akaunti za google (gmail) zaidi ya moja; hii inamaanisha simu au kompyuta yako imesajiliwa au umesign in kwa akaunti za google zaidi ya moja. Kwa hatua hiyo bofya neno 'CANCEL'

(But, if you see new dialog box appears with several Gmail accounts, after clicking that download button; means your phone or computer has registered or signed in with more than one gmail accounts. If that so, Click 'CANCEL')

Angalia picha hapo chini (see a screenshot below)4) Baada ya kubofya neno 'CANCEL' box hiyo yenye akaunti ya google (gmail) itapotea, kisha SHIKILIA batani ya kudownlodi (hold) baadae utaona box mpya yenye machaguo mengi. Ili kudownlodi audio hiyo unatakiwa ubofye neno 'Download link', hatimae audio hiyo itaanza kudownlodi na kuhifadhiwa kwenye simu au kompyuta yako.

(Next, Click the word 'CANCEL', that Dialog box will disappear. HOLD download button then you'll see the new dialog box with various options appears, To download that audio click 'Download link' finally you'll see download progress and your audio will be saved to your computer or phone.)

Angalia picha hapo chini (see a screenshot below)

Kama una maoni au maswali yoyote kuhusiana na makala hii usisite kuacha ujumbe wako hapo chini (If you've any opinions or question about this article, leave your thoughts below

Last updated on: June 14, 2024.

Posted by: Mdau Muziki

Post a Comment